6/13/18

MMOMONYOKO KATIKA DARAJAPicha zikionyesha mmomonyoko wa udongo katika daraja, eneo la Interchick katika barabara ya Bagamoyo, Dar Es Salaam. Mmomonyoko huu usipodhibitiwa unaweza kuleta athari katika daraja hili na barabara kwa ujumla.

No comments: