6/13/18

JIUNGE KATIKA SIKU YA BLOGU

Tarehe 15/10/2009 ni siku ya blogu duniani, ambapo mwaka huu mjadala unahusu mabadiliko ya tabianchi (Climate Change).
Katika blogu hii nimekuwa nikiandika mada mbalimbali kuhusu masuala ya mazingira, mabadiliko ya tabia nchi na matumizi ya nishati mbadala, kwa hiyo siku hii ni mwafaka sana katika kupigia debe suala na kupambana na mabadiliko ya tabia nchi!

Kwa habari zaidi unaweza kutembelea hapa

4 comments:

John Mwaipopo said...

kaka upoktk ulimwengu wa kublogu? tulikumiss kinamna katika ulimwengu wa kublogu. kaza buti. vipi shule inaendeka this /Ia/ ya mwaka huu

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Nimeona blogu yako. Mbona umeliacha pigano? Rudi vitani please. Jamii inakuhitaji!

Mzee wa Changamoto said...

Nami nimewasili hapa.
Kaka rejea ulingoni.
Tuko PamoJAH

mwalyoyo said...

Nashukuruni sana wakubwa kwa kujali mabandiko yangu, nitajitahidi kuendeleza mapambano kwa kadri ninavyoweza. Nilibanwa na majukumu ya kikazi, ndio sababu nilikuwa adimu kwa kipindi kirefu. Nitarejea kwa nguvu mpya hivi karibuni.
Asanteni sana.