tag:blogger.com,1999:blog-28530683.post1148827348944082098..comments2024-03-19T08:27:23.160+03:00Comments on MAZINGIRA YETU: TUTAENDELEA NA UBISHI HUU HADI LINI?Alex Mwalyoyohttp://www.blogger.com/profile/02830849119300636415noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-28530683.post-53185388903778071712007-02-11T18:24:00.000+03:002007-02-11T18:24:00.000+03:00moral values hapa duniani sasa hivi ni kama hazipo...moral values hapa duniani sasa hivi ni kama hazipo,sasa hivi kuna bessiness values au money values.hizo nchi zinazoongoza kwa kuchafua hali ya hewa ndio zinaongoza kwa uzalishaji wa sigara.idadi kubwa ya vifo katika nchi hizo husababishwa na magonjwa yanayosababishwa na uvutaji sigara.wanasiasa haohao,kwa kuogopa kushuka kwa mapato na kukosa support ya wafanyabiashara wakubwa wameamua kulifumbia macho tatizo hilo.nionavyo mimi,ubishi wa mataifa haya utaendelea mpaka pale kutakapoibuka mataifa yatakayojibunia mbinu nyingine ya kunufaika na uharibifu unaosababishwa na mataifa ya magharibi.watashindwa kuvumilia,wataanza kujadili wenyewe.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08340852436014535215noreply@blogger.com